TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
**LA SIVYO WALIPWE KAMA WAWAKILISHI
**WASEMA MAALIM YEYE ATATUNZWA NA SERIKALI
**WATAKA WARUDISHE GHARAMA ZA OCT 25
WAGOMBEA uwakilishi katika majimbo 16 Zanzibar wameazimia kushiriki uchaguzi wa marudio visiwani, tarehe 20 mwezi huu.
"Politics ndio maisha yetu. Tulitumia hela nyingi uchaguzi wa Oktoba 25. Tuna uhakika wa kushinda japo turudishe fedha tuliyo investi", walisema.
Wamesema endapo CUF wanataka wasishiriki uchaguzi, waandae mkakati wa kuwalipa pesa sawa na ambazo wangepata wakiwa wawakilishi.
Wagombea hao wamemwambia mwandishi wa habari hizi kuwa Maalim Seif (Shariff Hamad) ameshaula kwa kuwa atahudumiwa na serikali maisha yake yote kwani amekuwa makamu wa kwanza wa rais.
Wagombea hao na majimbo wanapanga kugombea ni:-
1, Salim Abdallah Hamad (Mtambwe)
2, mohammed Mbwana Hamad (Chumbani)
3, Suleiman Khamis (Konde)
4, Salehe Nasoro (Wawi) from Hamad rashidi
5, Rufai Said (Tuombe)
6, Omar Shehe (Chake Chake)
7, Mohammed Khalidi (Mtambile)
8, Hijja Hassan (Kiwani)
9, Hassan Omar Kijani
10, Hamad masoud (Ole)
11, Abdallah Ally (Mkoani)
12, Haji Mwadin Waziri
13, Zahra Ally
14, Abilah J Hassan (Magogoni)
15, Rashidi Suleiman (Ziwani)
16, Abubakar Bakary (Mgogoni)