Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Kama ndivyo kulikuwa kuna haja gani ya kutumia fedha za umma kuwakodisha Wasani lukuki? Watadai ni fedha za chama lkn si kweli.Mimi sina chama ila naona wagombea wa Ccm wananafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Kama ndivyo kulikuwa kuna haja gani ya kutumia fedha za umma kuwakudisha Wasani lukuki? Watadai ni fedha za chama lkn si kweli.
Ukweli uko wazi maendeleo ni ya watu siyo ya vitu. CCM imechokwa na hata yenyewe imejichokea kwa sasa ni nguvu ya Dola na Tume ya Uchaguzi ndiyo tegemeo lao kuu.
Kazi kubwa aliyofanya Magufuli? Endelea na bongolala yako, mwenzako mpaka betri inazimazima huko.Mimi sina chama ila naona wagombea wa Ccm wananafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Kazi kubwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kazi kubwa kuwapora wafanyabiashara wakubwa pesa zao kuwabambikia madeni makubwa ya TRA kesi za uhujumu uchumi? Kazi kubwa kuiba trilion 1.5 kununua Ndege kwa cash kupita 10% kwa cash kisha kumtoa CAG kafara?Mimi sina chama ila naona wagombea wa Ccm wananafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Kazi kubwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani? Kazi kubwa kuwapora wafanyabiashara wakubwa pesa zao kuwabambikia madeni makubwa ya TRA kesi za uhujumu uchumi? Kazi kubwa kuiba trilion 1.5 kununua Ndege kwa cash kupita 10% kwa cash kisha kumtoa CAG kafara?
Mkurugenziccm anatembea na matokeo yake mfukoni atamtangaza kwa kura zake binafsi siyo kura za wapiga kuraHuku Temeke mgombea wa ccm hajafanya hata mkutano mmoja
Ndivo mlivo mdanganya magu saiz ana pata tabu mwenye make maneno haya mlimwambia yeye ameshapitaMimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kuraWagombea Ubunge wengi wa CCM wamekwama kufanya kampeni kwa kuzingatia ratiba ya tume huku sababu zifuatazo zikitajwa
1. Kukosekana kwa fedha na chama, wabunge wengi wanakwama baada ya bajeti kubwa kuelekezwa kwa wasanii waandishi, watangazaji, viongozi wa umma wanaoratibu uchaguzi kwenye majimbo.
2. Baadhi ya wagombea wameelekezwa kutotumia gharama nyingi kwa sababu tayari Wana uhakika watapita hata wasipoomba kura, Hawa Ni wale wanaotoka majimbo ya mkoa wa Tabora, Lindi, Ruvuma na Dodoma ambapo wananchi hawana mwamko wakulinda na kusimamia kura
3. Idadi ya wananchi wanaokwenda kwenye kampeni zao Ni ndogo hivyo wakiendelea na kampeni wakati wagombea wa vyama vingine Wana wafuasi mkubwa kunawakatisha tamaa wapenzi wao kuona wameshindwa.
4. Dharau ya wagombea kwa wananchi.
Wewe unapenda ushetani wa CCM kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana
Wewe unapenda ushetani wa CCM kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?