Wagombea 30 wanalifanyia mazoezi jimbo la Iramba mashariki.

Wagombea 30 wanalifanyia mazoezi jimbo la Iramba mashariki.

kumbe ubunge siku hizi ni kama kuuza nyanya gengeni! du nilikuwa sijui. Bila shaka na wewe bwana Ayub utakuwepo.

NIKIOTESHWA NA MUNGU NITAOMBA RIDHAA. Ninazo sifa zote mpaka za nyongeza.
 
Vipi Salome alishapona ugonjwa wake maana alikuwa ICU Muhimbili?
 
ulikuwa unaoata nn ukajikuta upo kwny key board
 
ulikuwa unaoata nn ukajikuta upo kwny key board
 
Vipi Salome alishapona ugonjwa wake maana alikuwa ICU Muhimbili?

HUYO TUMUACHE ALIKUWA INDIA KWENYE MATIBABU. TUMUOMBEE APONE AJE KUTEKELEZA AHADI ZAKE. Tunamdai, ahadi ni deni.
 
Back
Top Bottom