GE2025 Wagombea 174 wamechukua fomu za ubunge Kigoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Chama cha Minduzi CCM mkoani Kigoma Kupitia kwa Katibu Mwenezi Deogratius Nsokolo,kimetoa orodha ya wagombea waliojitokeza kugombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, siku moja baada ya kufunga zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu ili kuanza mchakato mwingine wa kutafuta wagombea watatu watakaochuana kupata nafasi moja ya kugombea nafasi hizo.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Chama cha Minduzi CCM mkoani Kigoma Kupitia kwa Katibu Mwenezi Deogratius Nsokolo,kimetoa orodha ya wagombea waliojitokeza kugombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, siku moja baada ya kufunga zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu ili kuanza mchakato mwingine wa kutafuta wagombea watatu watakaochuana kupata nafasi moja ya kugombea nafasi hizo.
Mara wako 153
 
Back
Top Bottom