HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,322
- 103,593
Waziri wa Ulinzi wa RF (Russian Federation) amesema kuwa wapiganaji wote wakujitolea wanapaswa kujisajili na Jeshi la Urusi kufikia 01/07/2023
Hii inahusisha na wanajeshi wote wanaopigana chini ya mwamvuli wa Wagner PMC.
Hivyo basi V. Prigozhin atahitajika kuondoka katika vita hii.
Na yasemekana kuwa Jeshi la Urusi limefanya hivyo baada ya kuona watu wengi wanajiunga na Wagner PMC sababu ya uhakika wa malipo.
Je wanataka wamkamate VP?