Mr Putin JF-Expert Member Joined Feb 13, 2019 Posts 517 Reaction score 524 Jan 1, 2023 #1 Kundi la Wagner kutoka Urusi waliletwa na Serkali ya DRC kupambana na M23 sasa waanza kupewa moto!. Attachments 20230101_081511.png 280.6 KB · Views: 23 IMG_20230101_074816.jpg 64.1 KB · Views: 20 IMG_20230101_074831.jpg 107.9 KB · Views: 18 IMG_20230101_074828.jpg 108.4 KB · Views: 17 IMG_20230101_074824.jpg 119.1 KB · Views: 20
Mynd177 JF-Expert Member Joined Dec 3, 2022 Posts 3,167 Reaction score 5,642 Jan 1, 2023 #2 Aiseee mbona inasikitisha sana.!
Nkuba25 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2015 Posts 2,374 Reaction score 13,097 Jan 1, 2023 #3 Ni kitu gani hasa kinakutambulisha kwamba hao ni Askari wa Wagner Group...?
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 7,491 Reaction score 12,593 Jan 1, 2023 #4 FDLR imejaa mamluki kibao wa paka shume wa kiugali, m23 kuimaliza itachukua muda sana
S Sela Son JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 3,918 Reaction score 8,719 Jan 1, 2023 #5 Wagner wako proper Sana kwenye ishu ya uvaaji na silaha. Hapo inaonekana Kama Ni wapiganaji but Ni mgambo TU wasio hats na mavazi maalum
Wagner wako proper Sana kwenye ishu ya uvaaji na silaha. Hapo inaonekana Kama Ni wapiganaji but Ni mgambo TU wasio hats na mavazi maalum
Mamlukii JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 1,114 Reaction score 2,497 Jan 1, 2023 #6 mambo kama ayo ya kawaida tu vitani.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 35,796 Reaction score 47,077 Jan 1, 2023 #7 Sela Son said: Wagner wako proper Sana kwenye ishu ya uvaaji na silaha. Hapo inaonekana Kama Ni wapiganaji but Ni mgambo TU wasio hats na mavazi maalum Click to expand... Pamoja na kuwepo majeshi ya UN na Sasa EAC bado Drc imeajiri Wagner ?...sio kwamba ni propaganda tu hizi ? Moronight walker mtu chake
Sela Son said: Wagner wako proper Sana kwenye ishu ya uvaaji na silaha. Hapo inaonekana Kama Ni wapiganaji but Ni mgambo TU wasio hats na mavazi maalum Click to expand... Pamoja na kuwepo majeshi ya UN na Sasa EAC bado Drc imeajiri Wagner ?...sio kwamba ni propaganda tu hizi ? Moronight walker mtu chake
S Sela Son JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 3,918 Reaction score 8,719 Jan 1, 2023 #8 Proved said: Pamoja na kuwepo majeshi ya UN na Sasa EAC bado Drc imeajiri Wagner ?...sio kwamba ni propaganda tu hizi ? Moronight walker mtu chake Click to expand... Sijui.
Proved said: Pamoja na kuwepo majeshi ya UN na Sasa EAC bado Drc imeajiri Wagner ?...sio kwamba ni propaganda tu hizi ? Moronight walker mtu chake Click to expand... Sijui.
Mtanga90 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2022 Posts 238 Reaction score 463 Jan 1, 2023 #9 Wagner wa mchongo hao
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,633 Reaction score 121,022 Jan 1, 2023 #10 Wagner kutoka micheweni Pemba. nimemuona black.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 17,649 Reaction score 21,856 Jan 1, 2023 #11 Kabla hawajaja wanatakiwa wapitie Hali aliyopitia chequavala
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,739 Reaction score 22,488 Jan 1, 2023 #12 Hii habari umeitoa wapi?!
Moronight walker JF-Expert Member Joined Aug 3, 2021 Posts 3,103 Reaction score 4,718 Jan 1, 2023 #13 Proved said: Pamoja na kuwepo majeshi ya UN na Sasa EAC bado Drc imeajiri Wagner ?...sio kwamba ni propaganda tu hizi ? Moronight walker mtu chake Click to expand... Mwenyewe NASHANGAA wagner WANAvaaa mavazi ya jeshi la congo. Sela Son said: Wagner wako proper Sana kwenye ishu ya uvaaji na silaha. Hapo inaonekana Kama Ni wapiganaji but Ni mgambo TU wasio hats na mavazi maalum Click to expand...
Proved said: Pamoja na kuwepo majeshi ya UN na Sasa EAC bado Drc imeajiri Wagner ?...sio kwamba ni propaganda tu hizi ? Moronight walker mtu chake Click to expand... Mwenyewe NASHANGAA wagner WANAvaaa mavazi ya jeshi la congo. Sela Son said: Wagner wako proper Sana kwenye ishu ya uvaaji na silaha. Hapo inaonekana Kama Ni wapiganaji but Ni mgambo TU wasio hats na mavazi maalum Click to expand...
Moronight walker JF-Expert Member Joined Aug 3, 2021 Posts 3,103 Reaction score 4,718 Jan 1, 2023 #14 Mr Putin said: Kundi la Wagner kutoka Urusi waliletwa na Serkali ya DRC kupambana na M23 sasa waanza kupewa moto!. Click to expand... Wagner wa kibera buza
Mr Putin said: Kundi la Wagner kutoka Urusi waliletwa na Serkali ya DRC kupambana na M23 sasa waanza kupewa moto!. Click to expand... Wagner wa kibera buza
Mukimbiri Senior Member Joined Mar 4, 2015 Posts 146 Reaction score 165 Jan 1, 2023 #15 Picha za kuokoteza na kutunga story. Hakuna Wagner hapo.
Bugucha JF-Expert Member Joined Jan 3, 2020 Posts 3,566 Reaction score 14,624 Jan 1, 2023 #16 Mr Putin said: Kundi la Wagner kutoka Urusi waliletwa na Serkali ya DRC kupambana na M23 sasa waanza kupewa moto!. Click to expand... Since when Wagner wakavaa "locally" hivi!? Acha kupost kila uchafu humu.
Mr Putin said: Kundi la Wagner kutoka Urusi waliletwa na Serkali ya DRC kupambana na M23 sasa waanza kupewa moto!. Click to expand... Since when Wagner wakavaa "locally" hivi!? Acha kupost kila uchafu humu.
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 4,853 Reaction score 11,723 Jan 2, 2023 #17 Hao wagner wanakua full equiped hao na well trained sasa huyo mcomoro wa watu hapo na gumboots zake unamuita wagner ? Nyie watu nyie
Hao wagner wanakua full equiped hao na well trained sasa huyo mcomoro wa watu hapo na gumboots zake unamuita wagner ? Nyie watu nyie
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 33,478 Reaction score 53,336 Jan 2, 2023 #18 Mtanga90 said: Wagner wa mchongo hao Click to expand... Lini Wagner wamekua na akili, kwa ambavyo wanauawa kule Ukraine, sitashangaa hizi habari.
Mtanga90 said: Wagner wa mchongo hao Click to expand... Lini Wagner wamekua na akili, kwa ambavyo wanauawa kule Ukraine, sitashangaa hizi habari.
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,871 Jan 2, 2023 #19 Utapeli.mtandaoni siokilahaariyakusomaaaaa
Mr Putin JF-Expert Member Joined Feb 13, 2019 Posts 517 Reaction score 524 Jan 2, 2023 Thread starter #20 I AM SALIM said: Wagner kutoka micheweni Pemba. nimemuona black. Click to expand... Jamaa wapo Goma hotelini kbs, soon mtapewa habari kamili bado Tsisekedi anaficha. Attachments IMG_20230102_160527.jpg 107.9 KB · Views: 18
I AM SALIM said: Wagner kutoka micheweni Pemba. nimemuona black. Click to expand... Jamaa wapo Goma hotelini kbs, soon mtapewa habari kamili bado Tsisekedi anaficha.