Sasa kila kijiji kitakuwa kina uamuzi wake ??Safi sana
Hicho kijiji kitakuwa na maendeleo sanaaaa
Kunasheria ndogo(by laws) ambazo kila kijiji kinamamlaka ya kuzitengeneza mfano sheria za muda wa pombe ilimradi zisikinzane na sheria mamaSasa kila kijiji kitakuwa kina uamuzi wake ??
indeed,Kunasheria ndogo(by laws) ambazo kila kijiji kinamamlaka ya kuzitengeneza mfano sheria za muda wa pombe ilimradi zisikinzane na sheria mama
Karibuindeed,
Nashukuru kunielimisha....
Safi sana lazima utii wa sheria uwepo.Hii Safi Na miji mikubwa kama Dar waige hahahaah