wageni wooote msome hapa!?!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
hamjamboo?
Amina naiman mmeitika ila mim nawakaribisha wagen wote ila mkitoka hapa jaman kuna kijukwaa chetu kile cha chitchat tafadhalin mpite pale mkutane na wanamember wa pale natumai mtaenjoy nyie na roho zenu mim naitwa beibe nasty najua mshaanza jiuliza nasty eeeh ila ndo jina langu hapa ni shemeji wa eric b52 n dada wa mentor na ni mke wa judgement na ni shostito mkubwa wa charming na ni nightmare kwa junior cux. Karibun sana
 
Tumekusikia, tumekusoma, tumekuelewa. Kuna jengine Baby? Karibu sana.
 
na msisahau mamember wa chit chat tupo'ila kama mnapenda stress mnaweza kuingia jukwaa la siasa na dini kidogo
 
Back
Top Bottom