F Fruit Senior Member Joined Jan 1, 2013 Posts 193 Reaction score 54 Mar 9, 2013 #1 MWENYEJI: Utakunywa soda au chai? MGENI: Nitakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke!
Nyanidume JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,409 Reaction score 1,151 Mar 9, 2013 #2 MWENYEJI; Mbona hiyo chai imeshaandaliwa na ipo kwenye chupa? MGENI; Ok, acha ninywe chai, wakati nasubiri hiyo soda kutoka dukani.
MWENYEJI; Mbona hiyo chai imeshaandaliwa na ipo kwenye chupa? MGENI; Ok, acha ninywe chai, wakati nasubiri hiyo soda kutoka dukani.
M Madigo Member Joined Mar 7, 2013 Posts 24 Reaction score 11 Mar 9, 2013 #3 MWENYEJI; hata soda ipo tayari kwenye friji MGENI: Nipe tu vyote maana nahisi chai ni ya moto sana ko ntapozea na soda. Asante
MWENYEJI; hata soda ipo tayari kwenye friji MGENI: Nipe tu vyote maana nahisi chai ni ya moto sana ko ntapozea na soda. Asante
zailolly Senior Member Joined Mar 4, 2013 Posts 116 Reaction score 75 Mar 9, 2013 #4 mgeni kama huyu anakufilisi kwa siku moja
Head current JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 479 Reaction score 128 Mar 9, 2013 #5 MWENYEJI: Utakunywa soda au chai? MGENI: Nitakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke! AMEOMBA LIFT ANATAKA APIGE NA HONI......
MWENYEJI: Utakunywa soda au chai? MGENI: Nitakunywa soda wakati nasubiri chai ichemke! AMEOMBA LIFT ANATAKA APIGE NA HONI......