T thadei kimambo JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 220 Reaction score 126 Oct 16, 2013 #1 Wageni wa siku hizi hawana hata makuu...mgeni wa siku hizi akija haulizi chai wala soda, mgeni wa siku hizi akifika cha kwanza kabisa utamsikia ETI UNA CHAJA YA PINI NDOGO
Wageni wa siku hizi hawana hata makuu...mgeni wa siku hizi akija haulizi chai wala soda, mgeni wa siku hizi akifika cha kwanza kabisa utamsikia ETI UNA CHAJA YA PINI NDOGO
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,700 Reaction score 4,126 Oct 16, 2013 #2 Haha hahaaa...........ππππ
karms JF-Expert Member Joined Sep 26, 2013 Posts 226 Reaction score 63 Oct 17, 2013 #3 Hahahahaha.....
T thadei kimambo JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 220 Reaction score 126 Oct 17, 2013 Thread starter #4 Kweli kabisa!
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Oct 18, 2013 #5 wageni tumeshastuka wenyeji wana roho mbaya na wachoyo ya nini kuomba chai,unajiombea chaji yako na huyo unasepa kimtindo. Nalog off
wageni tumeshastuka wenyeji wana roho mbaya na wachoyo ya nini kuomba chai,unajiombea chaji yako na huyo unasepa kimtindo. Nalog off
T thadei kimambo JF-Expert Member Joined Jan 31, 2013 Posts 220 Reaction score 126 Oct 19, 2013 Thread starter #6 Washawasha said: wageni tumeshastuka wenyeji wana roho mbaya na wachoyo ya nini kuomba chai,unajiombea chaji yako na huyo unasepa kimtindo. Nalog off Click to expand... si unajua mawasiliano kwanza vingine baadae
Washawasha said: wageni tumeshastuka wenyeji wana roho mbaya na wachoyo ya nini kuomba chai,unajiombea chaji yako na huyo unasepa kimtindo. Nalog off Click to expand... si unajua mawasiliano kwanza vingine baadae
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Oct 19, 2013 #7 thadei kimambo said: si unajua mawasiliano kwanza vingine baadae Click to expand... mambo ya kizamani hayo,sasa simu yangu haina chaji nitawasiliana nawe kwa kutumia nini,we nigee chaji ya pini ndogo mie niende zangu lol. Nalog off
thadei kimambo said: si unajua mawasiliano kwanza vingine baadae Click to expand... mambo ya kizamani hayo,sasa simu yangu haina chaji nitawasiliana nawe kwa kutumia nini,we nigee chaji ya pini ndogo mie niende zangu lol. Nalog off
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Oct 19, 2013 #8 DUUUUUUUU!!!! ila kweli!