Wageni tutaruhusiwa kununua nyumba NHC Bongo

Wageni tutaruhusiwa kununua nyumba NHC Bongo

shiriki haliwez kujiendesha kwa kujenga low cost house pekeee, lijenge nyumba za gharama ziuzwe kwa bei ya ukweli ili liweze kujenga low cost houses
 
shiriki haliwez kujiendesha kwa kujenga low cost house pekeee, lijenge nyumba za gharama ziuzwe kwa bei ya ukweli ili liweze kujenga low cost houses

Kinyume chake sasa ndio ingewezekana kirahisi sana
 
Kinyume chake sasa ndio ingewezekana kirahisi sana
Mkuu watu kama hao achana nao hivi anajua mkopo wa billioni 150 ukiwa na interest ya 15% ni deni la kiasi gani na sidhani kama kuna grace period ya miaka mitatu (nyumba azijaisha tayari ushaanza kulipa deni); haya shirika linalodaiwa billioni miatatu + interest (si headache).

Hawa ndio watu wanaodhani hicho kilio cha wageni kuja kununua nyumba ni choice hizo nyumba zikichelewa hela za kodi ya asset zao ambazo zilikuwa cash cow (kwa zile walizozikuta tayari zinawapangaji) ndio zinafidia deni na soko la nyumba wanazojenga dar lishaanza kuwa na mashaka (this is the reason the bank wants government assurance maana investment ni mashaka sana soko lake); sasa why on earth wasingejenga nyumba ambazo jamii inazihitaji na si haya mambo ya kumpigia magoti raisi awasaidie.

Haya ndio matatizo ya watu kama akina Zakhia Meghji kuwa kwenye body sensitive za uchumi wa taifa badala ya kucheza na wajukuu zao zama hizi, wamefika hapo kwa kubebwa na wakiboronga wanaenda omba favours kwa raisi za kuchomoka na favours ambazo zinaweka hela za walipa kodi at risk za kufidia unthoughtful investments ambazo aziwasaidii in the first place.

Kila kilichotabiriwa kinaenda vile vile from day one of his investment strategy kwa sababu ilikuwa ni ovyo.
 
Back
Top Bottom