wageni ni zaidi ya wa Tz!

Lord K

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
213
Reaction score
37
Juzi juzi walivamiwa watalii bahati mbaya wengine waliuawa na kuibiwa..kilichotokea serikali ilitoa helkopta na mkuu wa operation wa polisi wakasaka mtaa kwa mtaa na kuwapata baadhi ya wahalifu.,Dr ulimboka ametekwa, amesulubiswa na kufanyiwa unyama mkubwa..serikali inaita waandishi wa habari na kusema haihusiki alafu basi.badae tume eti imeundwa, Watanzania tume na waandishi..kwa wageni mawaziri,helkopta na wakuu wa vitengo. Akili ku mkichwa.
 

Kesi ya nyani kapelekewa Timbuli. Unategemea nini mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…