Waganga washindana na polisi


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,089
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,089 2,000Baadhi ya watu wameanza kugeukia uganga kama njia moja ya kukabiliana na wizi na uhalifu wa aina nyingine...kufuatia matukio katika maeneo tofauti nchini imedhihirika kwamba watu wengi wanawaamini waganga kuliko polisi. Katika kisa cha hivi punde , wakaazi wa kijiji cha Chepkutung, jimbo la Kericho walishuhudia tukio la kushangaza pale mtu mmoja aliyetambuliwa na mganga kwamba alikuwa mwizi wa ngombe alipoanza kula nyasi.
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,294,754
Members 498,027
Posts 31,187,074
Top