Kwa taarifa toka mdau aliyepo Dom leo, inasemekana waganga wa jadi, wale waua albino wamejaa Dodoma. Kwa style hii kweli ndugu zetu albino wataacha kuuawa kweli? Mungu iokoe Tanzania. Nchi ikiongozwa na wachawi, usalama wetu uko wapi?
kwa taarifa toka mdau aliyepo dom leo, inasemekana waganga wa jadi, wale waua albino wamejaa dodoma. kwa style hii kweli ndugu zetu albino wataacha kuuawa kweli? Mungu iokoe Tanzania. nchi ikiongozwa na wachawi, usalama wetu uko wapi?