Yaani hilo neno bado halijapasishwa kuwa neno la kiswahili?Habari wana jamvi, nilikuwa kifungoni nimerudi upya
Juzi kati nilimpeleka jamaa yangu mmoja nyumbani kwao kabisa alikwenda kuchukua fomu za Ubunge sasa jirani na kwao kuna mganga wa kienyeji maarufu kwa pale nilikuta kina dada wametoka DSM kufuata madawa, wako njema walikuja na gari nzuri tu ila walikuwa pale nasikia kuhusu mambo ya mahusiano na mabwana zao nasikia yule mganga ni kiboko kuna dawa anawapaka mbunyeni mtu aliyemdhamilia akigonga ngozi anapagawa hakohoi na hata kama ana mke hamkumbuki tena na anafanya chochote atakachohamriwa na demu
wenyeji wanasema kuna kipindi wanajaaga wanawake kibao pale kutoka kona mbalimbali za nchi
Kumbe uwa tunarogwa si bure kama wengi wanavyofikiria
mie nilijua tunakolea mauno kumbe kuna extra step uwa zinachukuliwa nasikia wengi uwa wanaweka mitishamba kwenye pilau (chakula) kwa kuwa kina makolokolo mengi wanakumiksia humo humo kwa hiyo wanaume wenzangu mkiona mke au nyumba ndogo inakupikia pilau hovyo hovyo uwe makini sanakumbe ulikuwa hujui!
mie nilijua tunakolea mauno kumbe kuna extra step uwa zinachukuliwa nasikia wengi uwa wanaweka mitishamba kwenye pilau (chakula) kwa kuwa kina makolokolo mengi wanakumiksia humo humo kwa hiyo wanaume wenzangu mkiona mke au nyumba ndogo inakupikia pilau hovyo hovyo uwe makini sana
Habari wana jamvi, nilikuwa kifungoni nimerudi upya
Juzi kati nilimpeleka jamaa yangu mmoja nyumbani kwao kabisa alikwenda kuchukua fomu za Ubunge sasa jirani na kwao kuna mganga wa kienyeji maarufu kwa pale nilikuta kina dada wametoka DSM kufuata madawa, wako njema walikuja na gari nzuri tu ila walikuwa pale nasikia kuhusu mambo ya mahusiano na mabwana zao nasikia yule mganga ni kiboko kuna dawa anawapaka mbunyeni mtu aliyemdhamilia akigonga ngozi anapagawa hakohoi na hata kama ana mke hamkumbuki tena na anafanya chochote atakachohamriwa na demu
wenyeji wanasema kuna kipindi wanajaaga wanawake kibao pale kutoka kona mbalimbali za nchi
Kumbe uwa tunarogwa si bure kama wengi wanavyofikiria
wanadai ooh sijawahi kula nyoka konokono kumbe washalishwa hata maduduwasha hawa mrudieni bwana yesu muokoke:tape:
mbona hata mahotelini kuna madawa ya kuvutia wateja watu tunakula mchuzi umepikiwa kwa maji ya maiti
mbona hata mahotelini kuna madawa ya kuvutia wateja watu tunakula mchuzi umepikiwa kwa maji ya maiti
hiyo nimeisikia nasikia pedi zilizotumika zinavutia sana wateja wa chang'aa hii dunia tunakula vingi ila tu hatujui:twitch:Hata wale 17 waliokufa kwa kunywa chang'aa huko kenya juzi ilgundulika kuwa mojawapo ya additives kwenye utengengenezaji wa gongo ni pamoja na chupi za hao akina mama watengenezaji pamoja na ped zilizotumika!!! Take care