Waganga ni waongo

Eve lady sio yangu ila ni mekuwa emotional halafu kwani ni mbaya nikiwaloga mi wakike lazima tu waseti.
hahaha bas kazi ipoo#naye mungu alivyo mkubwa unakuta unakuwa unapambana na mwenzako mwenye figisu kama zako wote mnapambania mtu 1# sisi tunakuwa tunawachora tu
 
Sikushauri kabisa ujishughulishe na hao watu, utaishia kupigwa ama kuingizwa kwenye maagano mabaya kabisa... Ama la kila mmoja atautumia mwili wako kutest ndumba zake mwisho wa siku badala ya kutengeneza unajikuta unaharibu zaidi
 
Mganga hajigangi!!
 
Kweli kabisa sio uongo ni kweli halafu unakuta wanatest ujuzi wao na hela zako.
Wewe bora ujikite na maisha tu .
 
Heri yako umejitambuwa, wengine bado chuma ulete mpaka mwisho wa maisha yao...
 
imeandikwa amelaaniwa mtu amtegemeae mwanadamu kama kinga yake megemee mungu pekee
 
Uchawi gharama..Ndio maana wenzako huwa wanaamuaga kuwa walokole tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…