Eh aisee mimi ni mjingaIv ulienda kwa mganga ulitaka maden yafutike au wanaokudai wasahau??
Ila mm ninachoamin wajinga hamtaisha apa duniani mbaya zaid mpo kwa wengi sana apa Tanzania
Eh!acha kwenda kwa waganga binti mtegemee Mungu haitaji malipo yoyote
Kabisa hata usingecomment pia utalogwaMwanamke anayeenda kwa waganga hafai kbs
Nimekasirika mtu unashida wao wsntaja millions.Aisee umekasirika mpaka kuandika imekuwa shida, pole sana.
Wao wanataka milionsHawajaomba papuchi
Nimekasirika mtu unashida wao wsntaja millions.
Aisee sio hapa kwanguHivi kwanini watu ni Mambumbu hivi? Unajua unapokwenda kwa Mganga akikupa masharti magumu magumu unaona eti huyu ndiye anafaa, Sasa laki sita kwa mganga ya nini?
Bado hajakuagiza kichwa cha mama yako
Iyo ndo id yako nyingine eeh