Waganda,waganda mtaniua....aisee

Waganda,waganda mtaniua....aisee

du! hatari hii? natamani kuja ila acha wakati wa likizo nitaangalia posibility,vipi hali ya maisha ya huko?,""laki moja ya tshs"" inatosha kwa siku for normal relaxation?
 
du! hatari hii? natamani kuja ila acha wakati wa likizo nitaangalia posibility,vipi hali ya maisha ya huko?,""laki moja ya tshs"" inatosha kwa siku for normal relaxation?

unaweza tumia hata siku tatu au nne kwabajeti.hawana mizinga kama bongo
 
kumbuka ku2mia kinga vinginevo umesema hurud bongo bali utarudishwa ukiwa moja
 
Heheheheh!! Ndo umeenda kuanza chuo KIU? Kuna waethiopia huko nao weusi halafu ni makao makuu ya vyangudoa wanaojifanya wanafunzi.
 
ukovp hawajuikusaliti?maanahuku.kusalitiwa ndokaulimbiyu yawadada.
 
Wakuu mimi ndo jembe la afrika nipendae watoto weusi, jaman huku ni nouma tangu nimeingi border ya malaba mimi huyo jinja,nikapitia kireka,boyogerere,banda jamani nikafika stend nikashuka hapo nikachukua daladala ya kwenda seguku .

Nikiwa na mwenyeji wangu maeneo ya kabalagala si akanitafutia mtoto akajilengesha si nikachukua room,jaman hayo mapaja meusii uwiiiii ni matam balaaaaaaaa.

Jaman yaan bongo mnisahau sing"o siwezi kuacha vitu vizuri.

Miguu ya bia iko huku,wowowooo ndo usiseme balaa,namshukuru mseven kwa kuwazuia kuvaa vimin maana ningekufa,

BONGO MNISAHAU SIJI,TUTAKUTANA HUMUHUMU JF.

JEMBE AFRIKA.

Mkuu ipe nafsi yako furaha,ipe burudani,hiyo mitoto ya huko mieusi,ya moto,mitam sana.
 
nimemiss kampala nitakuja tena utakuwa mwenyeji wangu mkuu??
 
Back
Top Bottom