Mugare
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 669
- 846
Nimefatilia matangazo ya bbc swahili wiki nzima hii LIVE kutoka uganda, ila nimeshangazwa na waganda kwamba kiswahili hawajui na hawakipi kipaumbele kabisa na wanasema wazi kabisa kiswahili sio lugha wanayoiongea sana wala kujifunza ndani ya nchi yao, na hata waliokuwa wanakiongea ulkua unaona wanapata shida!
Sa najiuliza,, je? waganda ni wabaguzi kwa kutotaka kuappreciate lugha ya kiswahili kama lugha inayoongelewa sehem kubwa ya afrika au ndo kusema wao ni wazalendo wa kweli kwenye lugha yao ya kiganda na kiingereza??
Coz haiingii akilini majirani zetu wa karibu kabisa wasiwe na muamko wa kujifunza na kuongea kiswahili wazidiwe hata na congo