Sisi tujipange kwanza kutengeneza sindano kwanza
Sindano yote hiyo, sema kijiti cha kuchokonolea meno..
Wenzetu wanatafuta vipaji na kuviendeleza kwa watu wenye vipaji.
Hapa kwetu ukitengeneza tu gobole ndani ukaisaidie polisi.
Baada ya waganda kuunda gari la Kiira EV sasa wanasayansi hao wamepania kutengeneza ndege yao wenyewe, ya kwanza kwa mwafrika
Maandishi bold si kweli, kuna kampuni south africa inatengeneza ndege zinaitwa "sling", zipo sokoni siku nyingi tu. Ila hawa wanafunzi wa uganda nao ni wa kupongeza.
Ni ndege za aina gani hizo?