Wafugaji washikiliwa kwa kushindwa kuchangia mwenge

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
Nimeona kwenye taarfa ya habari ya chanel ten kwamba afisa mtendaji kata ya ludewa walayani kilosa anashikilia kwa kushindwa kuchangia laki moja kila mmoja
 
Uchangiaji mwenge sio lazima huwa ni hiari...huyo mtendaji atumbuliwe
 
Back
Top Bottom