wakushanga
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 552
- 92
Habari MTANZANIA, Naitwa Edward Ngoyai Lowassa, nagombea urais kupitia CHADEMA chini ya mwavuli wa UKAWA. Nina nia na dhamira ya kweli ya kuibadilisha nchi yetu. Uwezo ninao na rasilimali tele zipo! Hakuna sababu ya watu wetu kuwa masikini kiasi hiki kwan utajiri wa nchi hii ni wetu wote. Nitaboresha maisha ya wakulima, wafanyakazi, wafanya biashara wakubwa na wadogo na zaidi yate nitatokomeza RUSHWA. Kwa heshima kubwa nakuomba KURA yako tarehe 25.10.2015. UHURU WA KWELI, MABADILIKO YA KWELI. MUNGU ibariki Tanzania. Nakuomba utume ujumbe huu kwa Watanzania 50. MUNGU akubariki.
Huu uongo hata kwenye khanga upo
Mnatuchosha. Tafuteni mambo mengine ya kuongelea
Usikubali leo tanzania inazidiwa na burundi wanashilika la ndege liko makin lakin cc hakuna kitu kenya wanashilika lina ndege 60 hv nyerer si aliacha shilika la ndege likiwa hai hiii leo liko wap ndege aliyonunua mkapa na yenyewe iko wap unahitaji kua na tatizo la akili kupigia kula ccm walim tabora wameitisha mgomo malimbikizo cha maden ya mishahala
Je unafahamu kifaa kiitwacho LOWASA...?
NI kifaa cha kisasa chenye uwezo mkubwa wa kuangamiza na kutokomeza kirusi sugu kiitwacho CCM, sasa kifaa hiki kinapatikana nchi nzima katika mwonekano mpya kupitia king'amuzi bora cha UKAWA, kwenye mtamdao ulioenea nchi nzima wa M4C na chanel kama CHADEMA, NCCR, CUF na NLD.
Chagua LOWASA, chagua Ukawa kwa mabadiliko ya kweli,
Tanzania bila ccm inawezekana, fanya maamuzi ya busara 25 oct.
WAFUGAJI WAMTOSA LOWASA:
Kundi la wafugaji nchini wamesema hawamuunga mkono Lowasa kwa sababu,
Lowasa ni mbinafisi, inakuwaje yeye wakati akiwa waziri mkuu aliwatetea wafugaji wa kimasai kuchungia hifadhini lakini Wasukuma na Wakurya kule Serengeti wakiingiza mifugo yao hifadhini wanakamatwa na kupigwa faini kubwa?
Wamasai aliwaibia sana mifugo yao kwa kuinunua kwa bei ndogo, hivyo wanasema wakimchagua ni kumkaribisha fisi zizini ili aendelee kuwamalizia mifugo yao.
Lowasa ni mnafiki katika mikutano yake hakuna sehemu aliyoongelea maswala ya wafugaji na wakulima,hususani wanaokosa sehemu za malisho, yeye anachowaza ni kuwa rais wa machinga na mama ntilie.
HIVO HAWACHAGU MTU ASIYEJUA MATATIZO YA WAFUGAJI.