Wafugaji wa kuku unaweza tena inawezekana

Washikadau,

Makala muhimu ya UFUGAJI wa KUKU kwa maendeleo binafsi na kwa taifa. Ni wakati wa kuthubutu na kuchukua hatua.
Karibu

mkuu kwenye hiyo pdf umeandika kuku wanapotimiza miezi miwili wapewe chanjo ya ndui kwa njia ya sindano,swali langu ni je,naweza kuwachoma mwenyewe au lazima daktari wa mifugo,na wanachomwa sehem gani kwenye mwili?
 
Mkuu unaweza kuchoma mwenyewe ikiwa unajua, na huwa inachomwa sehemu ya kwenye bawa.
 
Mimi mgeni humu ila nimeguswa sana na ufugaji wa kuku wa kienyeji . Ahsanteni.
 
Habari mie ni mgeni humu ila nimevutiwa sana na elimu, sasa mimi niko Kasulu Kigoma nawezaje pata chakula cha vifaranga?
 
wiki 16 ina maana miezi minne? Kama uko Dar hujapata. Kuna mwl mama nilimfundisha hatua kwa hatua anao weusi chotara anawapunguza amepata dharura. Wako kama 60. Ni pm kama unataka

nilikua natafuta wa kienyeji pure mama Joe,asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom