Wafugaji wa kenya wafidiwa

Wafugaji wa kenya wafidiwa

hussler

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
78
Reaction score
33
Wafugaji wa kenya waliouziwa ng'ombe zao baada ya kuvuka mpaka na kuingia Tanzania, wamelipwa zaidi ya sh billion moja, kila ngombe mmoja serikali ya kenya imelipa sh million moja.
 
Wafugaji wa kenya waliouziwa ng'ombe zao baada ya kuvuka mpaka na kuingia Tanzania, wamelipwa zaidi ya sh billion moja, kila ngombe mmoja serikali ya kenya imelipa sh million moja.
Huku sisi wa kwetu wamenyang'anywa mifugo bila fidia yoyote, ati kisa walikutwa wanachunga karibu na mapori ya akiba!!!

Huku ni kusifu na kuabudu
 
Huku nadhani wengine bado wanapambana na kesi
 
Pesa waliyotaifisha dhahabu ya Tanzania iliyokuwa inapita kinyemela JKIA imelipa ng'ombe na chenji imebaki
 
Back
Top Bottom