Wafugaji, tunahitaji msaada wenu!πŸ˜€πŸ™πŸΎ

Brayan_Jk

Senior Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
187
Reaction score
200

Je, unatumia Fuga App? Tunataka kujua uzoefu wako na jinsi tunaweza kuifanya bora zaidi kwa ajili yako.

Jaza dodoso hili kwa dakika 2 tu na tusaidie kukupa huduma bora zaidi.
πŸ‘‰ [Utafiti wa Watumiaji Fuga App Kwa Wafugaji wa Kuku]

Shukrani kwa kuwa sehemu ya safari ya Fuga – pamoja tunaleta mapinduzi kwenye ufugaji wa kuku! πŸš€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…