Wafugaji Tanzania waende wapi..?

Wafugaji Tanzania waende wapi..?

Sababu ni nyingi sana lakini mkazo ukiwa kwenyejinsi ya kuboresha sera na sheria zetu ili ku mainstream wafugaji katika planning processes zaidi sana kukazania pia ufugaji wa kisasa (shamba boma) kama ilivyo kwa shamba darasa
 
Olee, nadhani kwa jina lako wewe ni mmasai, ebu niambie ni wa jinsi gani watoto wa kimasai wanashindwa kwenda shule kwa sababu ya kuchunga?

ni kweli watoto wengi hawaendi shule katika jamii ya wafugaji lakini
1. siyo sababu yakutowapatia maeneo ya kudumu ya kufuga au kuwawekea sera nzuri katika ufugaji wao. nafikiri wakipatiwa sera nzuri, wakatengenezewa mazingira mazuri ndo hapo wangeweza kufuga na watoto wangeenda shule. mfano kuna mchangiaji mmoja ameelezea hapo swala la ranchi, rachi iingetengeza mazingira nzuri sana kwani mtu hata anaweza kufuga bila kuwa na wachungi.
2. hata hivo mjini wamejaa watoto wengi mtaani sidhani kama wote hawa ni wa jamii wa kifugaji
 
1-Kuwapa maeneo ya kudumu maana yake unaunga mkono hoja watoto wasiende shule, mimi ninavyojua kila nyumba ya Kimaasai angalau watoto 4 hawaendi shule kabisa wanachunga tu hasa wa kiume, ndiyo maana wasichana wa kimasaai angalau wamesoma kuliko wavulana kwa kuwa wao hawachungi sana
2. Pia swala la kuwawekea Ranchi kila familia haitekelezeki, usukumani kwa mfano wana maeneo ya kuchungia lakini bado wanahama, mfano Meatu wana eneo kubwa lisilolimika, pia mbona Longido wameachiwa wachunge lakini bado wamehama?, Ngorongoro pia mbona bado kuna shida?. Najua kuwaamasisha watu wafuge ni kudumaza elimu lakini kama ikiwezekana watengewe maeneo yao tuone wanaishia wapi.

Mr Olee, hapa swala la msingi tupambane kila jamii ielimike ili watu waweze kufuga mifugo michache yenye tija, vinginevyo hii ishu ni ngumu kwa kuwa wanaofuga ndiyo haohao wanapenda kulima mfano wasukuma.
 
Waende wapi kwani walitoka wapi? wanaharibu mazingira yakishakuwa kame wanahamia sehemu nyingine. hii haikubariki.
 
1-Kuwapa maeneo ya kudumu maana yake unaunga mkono hoja watoto wasiende shule, mimi ninavyojua kila nyumba ya Kimaasai angalau watoto 4 hawaendi shule kabisa wanachunga tu hasa wa kiume, ndiyo maana wasichana wa kimasaai angalau wamesoma kuliko wavulana kwa kuwa wao hawachungi sana
2. Pia swala la kuwawekea Ranchi kila familia haitekelezeki, usukumani kwa mfano wana maeneo ya kuchungia lakini bado wanahama, mfano Meatu wana eneo kubwa lisilolimika, pia mbona Longido wameachiwa wachunge lakini bado wamehama?, Ngorongoro pia mbona bado kuna shida?. Najua kuwaamasisha watu wafuge ni kudumaza elimu lakini kama ikiwezekana watengewe maeneo yao tuone wanaishia wapi.

Mr Olee, hapa swala la msingi tupambane kila jamii ielimike ili watu waweze kufuga mifugo michache yenye tija, vinginevyo hii ishu ni ngumu kwa kuwa wanaofuga ndiyo haohao wanapenda kulima mfano wasukuma.

nimekuelewa vilivyo... ahsante kwa elimu nzuri,.
 
Back
Top Bottom