Naomba kujua namna faida inavopatikana kwenye hii biasharaKama wewe ni mfugaji Basi karibu hapa tuweze kupeana ujuzi wa ufugaji bora pia kutatua changamoto tunazokumbana nazo kwenye mabanda yetu.
Waswahili wanasema
Cheni ina nguvu tu kama kiunganishi ni dhaifu
Mkuu dalili nyingine ukiachia iyoKuku wangu wamekufa wengi Sana wanajisaidia choo Kama chokaa hivi , tatizo nini na tiba Nini ?
Manyoya kusimama na kuacha kula
Hiyo itakuwa typhoid kama pia wanahema kwa shidaManyoya kusimama na kuacha kula
Nilifanikiwa kuwauza ,labda unipe ushauri wa Nini Cha kufanya next timeHiyo itakuwa typhoid kama pia wanahema kwa shida
Pia vip mazingira ya banda lao
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app