Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,077
- 34,849
WAMEFUFUA au WAMEFUKUA?
nami nilitaka kuuliza hili swali kufufua au kufukuliwa??
kweli dunia ina vituko,
kwa wale wa kilimanjaro hususani kilema wanaelewa kidogo hili jambo
hebu fafanua kidogo juu ya hili la kilema....................
uuuuwi.......naenda rudisha chenji jamani why nimefungua huu uzi mieeeeeeeeeeeeee:help:
yewiiiiiii utanifanya niote ndoto mbaya usiku huu "Nightmares"
Acha uoga wewe...
hao huwa wanafufua baada ya miaka kumi kupita wanatoa masalia yale wanayaweka pembeni kwenye shamba