Wafuatao wanatafutwa Kwa HARAKA

Wafuatao wanatafutwa Kwa HARAKA

Joined
Jan 2, 2018
Posts
31
Reaction score
37
Wafuatao wanatafutwa,wakwanza alijulikana kama Robot na mwingine Kwa jina la Agy wakiwa wamefanya kazi mwaka Jana pale Tuzungumze forums........Popote mtakapoona ujumbe huu mnahitajika Kwa haraka, wasiliana nami PM.(Mna majina yenu mengine na mengine halisi ila hayo ndiyo mliyoyatumia kazini)
 
tangazo lkn umelileta kijanja...
 
Mkuu umenikumbusha hiyo forum ilifia wapi aisee now
 
Back
Top Bottom