Suala la katiba mpya si kati ya chama tawala na vyama vya upinzani bali washika dau wakubwa ni Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzbar. Waziri Chikawe na Wabunge wa ccm wanafanya kosa kudhani ni suala la wao na wapinzani. Ilikuwa lazima kushughulikia suala lolote linaloigusa Zanzbar badala ya kulitengenezea mizengwe!