MTH center
Senior Member
- Dec 18, 2012
- 115
- 52
Kwanini wafuasi wengi (wanachama wa chadema) wanapenda kuona negativity in everything?????.hawana lililozuri kwao,guys hata kama mtu anatabia mbaya anayake mazuri pia. u knw this make me think that wafuasi wengi wa chadema
1)ni wanafuata mkumbo
2)wengi wao akili zao sio nzuri hawana uwezo wa kupembua pumba na mchele
3)wanapropaganda nyingi kuliko vitendo
wabunge wengi wa chadema kwanza nawashukuru kwa challange wanazoleta bungeni,challange hizo ndizo zinazoleta maendeleo ya taifa letu.LAKINI MBONA WANAMANENO MENGI BILA VITENDO??
wanachama wa chadema kaeni chini mtafakari,do you think mtu anaongoza kwa maneno au vitendo?
mfano huu naufananisha ni iki kibonzo
Ritha;ninaumwa na nimekosa hela ya matibabu
Chadema inajibu:serikari yetu imeshindwa kabisa kushughulikia sekta ya afya wananchi 2015 msiipe kura.
CCM nao wanajibu:gharama ya hospital za government ni verry cheap but tunachangia kiasi kadhaa
Je ni yupi mwenye nafuu?? anaetoa lawama bila njia mbadala na utendaji??
FREEDOM OF SPEECH
chadema hawajapewa ridhaa ya utekelezaji wa ilani yake, jaribu kujua utofauti wa serikali na bunge; Serikali ndio watekelezaji wa shughuli za maendeleo ya wananchi, Bunge lina isimamia serikali kutekeleza wajibu wake. Hivyo wabunge wote wakiwemo wa CCM wanawajibu wa kuipigia kelele/ kuikosoa serikali pale inapokwenda kinyume. Tatizo wabunge wa CCM hawezi sema kwa kuogopa serikali ya chama chao, matokeo yake kazi ya bunge limebaki kufanywa na wabunge wa upinzani ndiyo maana we unaona hivyo. Pia unapaswa uelewe kuwa bunge halina jinsi ya kutekeleza wajibu wa serikali zaidi ya kuwaambia wafanye kazi yao.