Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Sasa tumekua watanzania hapana ukawa wala ccm magufuli ni rais wa watanzania wote.
😳Chadema😳
Nimeshtuka kuskia magufuli anatekeleza ilani na hoja za ukawa.
Kwasasa rais anashughurika sana na ufisadi na ubadilifu najiuliza niwapi mgombea wa ukawa lowassa alijipambanua anachukia mambo haya?
Kwa dakika 8 alizokua akiongea na hoja za babu seya, bodaboda na mamantilie leo wanasema magufuli anatekeleza hoja zao shame on u ukawa.
Mabadiliko ndio haya sio Yale yakuzungusha mikono.
Mnampinga magufuli na kususia matokeo hotuba yake alafu saiz alafu mnajikomba kwamba anatekeleza hoja zenu ...Zipi?
Lini mlimkabidhi magufuli ilani yenu mlioiweka kwenye website badala ya kuigawa na kuinadi kwa watanzania shame on u ukawa.
Mpaka sasa wananchi wameishagundu siasa za ulaghai utapeli mnasema leo MTU huyu ni fisadi kesho mnasema msafi kisa amawewahonga billion ns.
Kashifa ya stanbic wanaotajwa kuhusika ndio waliokua wanawafadhili kwenye campeni begabega mlitaka kugawana nchi hii lakin mungu amemleta rais wa watanzania.
Ama kweli choo kimehamia chumbani sasa mnanuka shombo ya ufisadi na wizi.
M4C mafufuli for change.
Tulieni ivoivo dawa iwaingie
UKAWA wanatapatapa, waende wakagombanie maiti waache Magufuli achape kazi.
😳CHADEMA😳
Nimeshtuka kuskia magufuli anatekeleza ilani na hoja za ukawa.
Kwasasa rais anashughurika sana na ufisadi na ubadilifu najiuliza niwapi mgombea wa ukawa lowassa alijipambanua anachukia mambo haya?
Kwa dakika 8 alizokua akiongea na hoja za babu seya, bodaboda na mamantilie leo wanasema magufuli anatekeleza hoja zao shame on u UKAWA.
Mabadiliko ndio haya sio yale yakuzungusha mikono.
Mnampinga Magufuli na kususia matokeo hotuba yake alafu saizi alafu mnajikomba kwamba anatekeleza hoja zenu Zipi?
Lini mlimkabidhi magufuli ilani yenu mlioiweka kwenye website badala ya kuigawa na kuinadi kwa watanzania shame on u ukawa.
Mpaka sasa wananchi wameishagundu siasa za ulaghai utapeli mnasema leo mtu huyu ni fisadi kesho mnasema msafi kisa amawewahonga billion ns.
Kashifa ya Stanbic wanaotajwa kuhusika ndio waliokua wanawafadhili kwenye campeni begabega mlitaka kugawana nchi hii lakini Mungu amemleta rais wa watanzania.
Ama kweli choo kimehamia chumbani sasa mnanuka shombo ya ufisadi na wizi.
M4C Magufuli for change.
Tulieni ivoivo dawa iwaingie.
KWa kuongezea na atutajie na list ya hao waliokwepa kulipa kodi...maana majina si yapo kwenye hizo Bill of Lading bwana...mbona wanazunguka mbuyu??mknd wk! punguza ubwabwajaji we ushakuwa mkubwa. kama kweli mnaweza hebu thubutu kumwambia che nkapa arudishe mgodi wetu wa makaa ya mawe na pia mwambie kikwete aturudishie chenji yetu ya EPA na atutajie orodha ya wauza unga na majangili anayodai kuwa nayo. kama haya yatakushindeni, funga hilo bakuli lako kubwa, mbweha wee!
KWa kuongezea na atutajie na list ya hao waliokwepa kulipa kodi...maana majina si yapo kwenye hizo Bill of Lading bwana...mbona wanazunguka mbuyu??
Keshaanza nae kuomba aliekwepa kodi arudishe ndani ya siku saba?? Yaani mwizi wa mali ya umma umnamuomba wakati alichofanya ni jina? CCM ni ileile
Wafuasi wa CCM ni wapumbavu sana
Kichwa chako kimejaa utomvu. Hapa kazi tu!Kama Malaika Mkuu ndio wewe basi huu ulinwengu uko kwenye himaya ya shetani. Hivi huoni ccm imekufa tayari? Jana Pombe kawaambia wafanyabiashara hii ni serikali ya Magufuli, sasa tuje tusikie mtu anatamba eti "serikali ya ccm"! Huyo ni viboko tuu hata awe ni mwenyekiti wenu.
Kazi ya ccm ikiyobaki ni kuendesha mradi wa maegesho ya magari ya watu usiku kwa wale wasio na pa kuyahifadhi usiku
hiyo miradi ya maegesho imesababisha wanarogana sana .Kama Malaika Mkuu ndio wewe basi huu ulinwengu uko kwenye himaya ya shetani. Hivi huoni ccm imekufa tayari? Jana Pombe kawaambia wafanyabiashara hii ni serikali ya Magufuli, sasa tuje tusikie mtu anatamba eti "serikali ya ccm"! Huyo ni viboko tuu hata awe ni mwenyekiti wenu.