Wafu Walio Hai

Mich you Kasie ulikuwa wapi!? Hope you good... Haya mambo yapo lakini ni mpaka yakutokee kwa hakika ndio utaona sio uzushi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
 
 
 
Yale mawazo,ya kuwaza usingizin ndo huwa ndoto,lakin ikiwa ndoto kamwe haiwezi ikawa ndo mambo ya kweli.

Na kwa hili shetani kawateka watu mpk wasomi km MSHANA jr.

Swali kwani mtu akifa ROHO yake uenda wapi?

Je,kuna tofauti ipi kati ya ROHO,NAFSI,PUMZI YA UHAI?

NA MTU AKIFA UENDA WAPI? JE,KUNA MAHALI ANAENDA KUISHI,KISHA AKITAKA KUJA HUKU KWA JAMAA YAKE ANAKUJA KUWATOKEZEA,TENA?
NO BODY.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mshana jr jibu swali hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna siku nikiwa nimelala ndoto nikaona kama marehemu baba kwa upole na unyenyekevu akinishauri mwanangu sikukatazi kuwa na msichana ila huyo uliyenae sasa achana nae. hili lilinipa maswali sana maana yule demu kimsingi akitongozwa kukataa ilikuwa ngumu na pia alikuwa na tabia ya kuanguka anguka karibu kila mwezi. huenda unachosema kina ukweli mshana jr
 
Maswali yako yote yana mada zilizojitosheleza kabisa nitakutag moja baada ya nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mkuu kadovela uliachana nae kweli au bado upo nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…