Mshana jr" ni kwel wakati mwingine wafu huwakinga na majanga wapendwa wao walio hai?Unaweza kudhani najichanganya sasa kwa post zangu mwenyewe! La hasha kuna kitu tofauti kabisa kwenye hii mada
Nazungumzia wale wapendwa wetu walitwaliwa kutoka maisha haya lakini unahisia za ukaribu kabisa kuwa hawako mbali nasi, na kuna wakati tukiwa pekeyetu tunahisi kabisa tuko nao pamoja, ni experience ya ajabu na ni tofauti kabisa na ndoto za usiku
Inawezekana kabisa ni hallucinations lakini kwanini itokee kwa hawa baadhi tu na si wengine wote? Je ni kweli wamekufa ama wapo hai kwa namna nyingine? Kwakuwa zile hisia za uwepo wao huwa halisi kupita kawaida
Mara nyingi huwa ni wazazi ndugu watoto jamaa marafiki na hata majirani, sometimes ni watu ambao wala hatukuwa na ukaribu nao lakini tulifahamiana... Kifo kina siri nyingi na hii ni mmojawapo.... Wafu walio hai
Usuwaze kuwa kafaje, usiwaze ushirikina wala misukule, wengine hufa vifo vya kawaida kabisa tena baada ya kuugua muda mrefu......
Maajabu ni mengi dhana ni nyingi kwenye hili lakini moja linaloweza kuwa na hakika zaidi ni mawasiliano ya kiroho yaliyopo kati ya Wafu na walio hai
Jihadhari usibebebwe na dhana potofu unapokumbana na hiyo hali kisha ukawasimulia walimwengu watakaokuja na dhana za misukule! Ama kurogwa! Jihadhari sana! Mawasiliano ya wafu na walio hai ni mengi na hutokea kwa namna tofauti tofauti.... Ni kila kitu ni uchawi ... Vingine ni asili ambavyo ufahamu wa kibinadamu haujavipatia majibu yote.... Wafu waishio ni mfano hai na halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wakatoliki tunaomba watakatifu marehemu watuombeeMimi naamini kuwa:
Mtu akishakuwa Mfu hana mawasiliano tena kwakuwa hawezi kuzungumza wala kufanya lolote. Labda kama Hakufa.
Hiyo ya kuwasiliana na walio hai ni imani potofu tu/uzushi. Au ni mbinu za kishetani katika kuwafanya watu waogope.
Mtu akifa...basi Amekufa na hakuna organ yake yoyoye ifanyayo kazi na organs ndizo zinawezesha mawasiliano.
Wewe ulishajiwa na mpendwa wako yeyote aliyekwishakufa?Naamini sana ktk hilo ni kweli sio ushirikina nadhani ni nature. Kama kuna mpendwa wako alikufa basi atakuja kwa njia nyingi na huwa wanaatuombea na kutulinda sometymz.
Labda ndo kupitia huyo mbwa alienisindikiza mpk naingia ndani ndo anarudi hanijui simjuiWewe ulishajiwa na mpendwa wako yeyote aliyekwishakufa?
Labda ndo huyo mbwa alienisindikiza mpk home akarudi alipotokaWewe ulishajiwa na mpendwa wako yeyote aliyekwishakufa?
We utakua umevuta bangi tuHapa utakuwa unakisema chama cha mapinduzi mkuu
Ndio kwa kiasi fulani hasa wazaziMshana jr" ni kwel wakati mwingine wafu huwakinga na majanga wapendwa wao walio hai?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh hapana kabisa Babati huku sio siasaniHapa utakuwa unakisema chama cha mapinduzi mkuu
Wewe unaamini HIVYO ni sahihi kabisa kwa imani yako ambayo hata hivyo haitandoa ukweli na uhalisia wa kile kilichopo na nilichoandikaMimi naamini kuwa:
Mtu akishakuwa Mfu hana mawasiliano tena kwakuwa hawezi kuzungumza wala kufanya lolote. Labda kama Hakufa.
Hiyo ya kuwasiliana na walio hai ni imani potofu tu/uzushi. Au ni mbinu za kishetani katika kuwafanya watu waogope.
Mtu akifa...basi Amekufa na hakuna organ yake yoyoye ifanyayo kazi na organs ndizo zinawezesha mawasiliano.