Wafaulu kwenda form one lakini hawajui kisoma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafaulu kwenda form one lakini hawajui kisoma!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Stevemike, Mar 19, 2011.

 1. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Jamani wana JF, mnisaidie maana sipati picha hapa! Ktk matokeo ya darasa la saba mwaka jana, nimeshuhudia wanafunzi wengi waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza lakini cha ajabu, hawajui kusoma hata kidogo! Hivi, walifauluje? Kwa mtindo hali ya elimu Tanzania inaelekea wapi?
   
Loading...