Nyinyi ndio wezi wa kuswap namba za watu then mnazitumia kuomba pesa ndugu zao kwa kuwatumia meseji ya kawaida au whatsapp
Kama kweli unaitaji huduma hiyo kwa njia halali nenda office za tigo/airtel watakusaidia
Watakusaidia hata kama huna TIN na leseni.Chizi wewe.
Watanisaidiaje wakati sina Tin na Leseni ya jina lililopo kwenye laini.
Acha kukurupuka bila kuelewa nani amekuambia unaweza ku swap namba ya mtu kirahisi.
Jinga sana wewe.
Chizi wewe.
Watanisaidiaje wakati sina Tin na Leseni ya jina lililopo kwenye laini.
Acha kukurupuka bila kuelewa nani amekuambia unaweza ku swap namba ya mtu kirahisi.
Jinga sana wewe.
Mkuu Wewe Ni Muungwana Sana! Na Vyeo Vyote Alivyokupa Bado Umemjibu Kistaarabu Na Kufafanua Bila Nongwa! Hongera Sana Mkuu! Mkuu Wa Kaya Angekuwa Na Busara Kama Zako Tungefika MbaliWatakusaidia hata kama huna TIN na leseni.
Nikwambie tu hata wao wanajua kuna till zinatumiwa na watu wasiokua wamiliki namba moja wa till, kwa kulitambua hilo wanaendelea kupata faida kupitia kamisheni unazoingiza kila siku.
Nakupa ushuhuda, mwaka 2013 nilipoteza till ya voda ambayo nilikua nimeinunua kufanyia kazi, ilipotea ikiwa na Tsh. 800,000 na chenji ndogo ndogo.
Ilinibidi niende mlimami city nikawaeleza ukweli, wakauliza salio lililomo, muamala wa mwisho, na mambo mengine madogo madogo ili kuthibitisha kama kweli naitumia mimi.
Then wakanielekeza kwa wakala mkuu niende kuchukua barua,hiyo ni baada ya kupata loss report ya polisi then nikawapelekea baada ya siku 5 nikaitwa kuchukua till yangu na pesa yangu ikiwemo salama kabisa.
Na sikua na TIN wala leseni wala jina sio langu.
Usiogope nenda ofisini funguka wala hawana tatizo, mchezo mzima wanaujua