Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
WAFANYAKAZI wa hoteli ya kitalii ya Parrot iliyopo katikati ya jiji la Arusha wameulalamikia uongozi wa hoteli hiyo inayomilikiwa na mfanyabiashara Abdalah Mshana (shana boy) kuwatelekeza jijini hapa na kushindwa kuwalipa malimbikizo ya mshahara yao ya zaidi ya kiasi cha sh,50 milioni tangu mwaka jana.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wafanyakazi hao walisema ya kwamba waliletwa jijini hapa mwezi Oktoba mwaka jana kutoka mikoa mbalimbali nchini kwa lengo la kuja kufanya kazi lakini kinyume chake uongozi wa hoteli hiyo umeshindwa kuwalipa mishahara yao na sasa umewafukuza kazi kinyemela.