Ni takribani wiki ya nne sasa tangu kusuasua kwa mtandao wa VODACoM na mara nyingine hakuna mawasiliano kabisa.
.........Je, kwanini msiiondoe Minara yenu kuthibitisha mmeshindwa kuiendesha na kutoa huduma bora kwa wateja wenu?
'THE LEADING NETWORK In Tz' kwa huduma zipi? Wahusika, hili ni Tatizo.