Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 247
- Thread starter
- #21
pole na wewe ndugu yangu, we are suffering the same disease kwa kutaka kuisaidia nchi yetuPole ndugu yangu,
pia yamekuta, Nipo MKOA X nilinunu gari la biashara nikalipeleka Mkoa Y na TIN yangu ni ya MKOA X, sasa basi wakati umefika natakiwa nilipie kodi ya mapato, nimeshindwa kulipia kule Y na sasa certificate inatakiwa irudi X na ndio nilipie Mapato.
Hakika nchii hii ni majanga.