Wafanyakazi Star tv, tafuteni kazi sasa

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,628
Wadau

Ni muda muafaka kwa akina Wambura Mtani na akina Marcus kutoka Sahara media kwani huko 'hakulipi'

Sasa wamepata fursa ya kusafiri safiri mikoani kuangalia ajira nyingine kwani miezi 3 walofungiwa na serikali ni nyingi,na kama kazi hailipi wamepata fursa sasa ya likizo ya lazima.
 
Kuna mzee mmoja mjanja sana, yeye aliwahi ABOOD MEDIA Morogoro...tehee teheee...kweli ujanja kuwahi!!
 
UKAWA wanaichukia Star TV kwa sababu ilikuwa ni moja ya vyombo vya habari vilivyoleta mizania ya kweli wakati wa kampeni. UKAWA ilikuwa na watu ambao walishajiandaa kula kuku baada ya JPM kushindwa uchaguzi!, lakini maisha ni lazima yaendelee.
 
Aaa, acha bana!!!! Kweli wewe mtabiri

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hata redio za Lowasa Zimefungiwa
 
Attachments

  • 1453033447380.jpg
    1453033447380.jpg
    54.6 KB · Views: 37
Wakilipa ada kabla ya kuanza adhabu hakuna tatizo wataendelea. Nadhani watakuwa wameshalipa.
 
UKAWA wanaichukia Star TV kwa sababu ilikuwa ni moja ya vyombo vya habari vilivyoleta mizania ya kweli wakati wa kampeni. UKAWA ilikuwa na watu ambao walishajiandaa kula kuku baada ya JPM kushindwa uchaguzi!, lakini maisha ni lazima yaendelee.

Nimesikia jana kwamba kwenye list ya media zilizopigwa ''3 months ban'' na TCRA nao wamo, kama ni kweli basi TCRA inaongozwa na UKAWA...tehe teheee..
 
UKAWA wanaichukia Star TV kwa sababu ilikuwa ni moja ya vyombo vya habari vilivyoleta mizania ya kweli wakati wa kampeni. UKAWA ilikuwa na watu ambao walishajiandaa kula kuku baada ya JPM kushindwa uchaguzi!, lakini maisha ni lazima yaendelee.
Hivi imefungiwa na nani vile?!!!
 
Yupo jamaa anaitwa Dotto Emanuel Bulendu. Napenda sana kipindi chake uchambuzi kila j'mosi asubuhi
 
UKAWA wanaichukia Star TV kwa sababu ilikuwa ni moja ya vyombo vya habari vilivyoleta mizania ya kweli wakati wa kampeni. UKAWA ilikuwa na watu ambao walishajiandaa kula kuku baada ya JPM kushindwa uchaguzi!, lakini maisha ni lazima yaendelee.
Hakuna cha mezania au kitinia
 
Jina la Lumumba halishabihiani kabisa na huu upuuzi wa CCM,jamaa alikufa akipigania uhuru wa kweli wa mtu mweusi,hebu tuwatafutie CCM nickname nyengine,turudishe heshima a hayato Patrice lumumba
hayato chukua kijiti utoe hzo nyama kwenye meno ili uache kuongea kama bambo
 
Back
Top Bottom