Wafanyakazi KNCU kugoma......

Wafanyakazi KNCU kugoma......

M4C ARUSHA

Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
38
Reaction score
4
BUNDI ALIYEKUWA AKINYEMELEA KWA KASI CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA MKOANI KILIMANJARO kncu SASA AMECHUKUA SURA MPYA BAADA YA WAAFANYAKZI KUTISHIA KUGOMA KWA MADAI YA KUINGILIWA KATIKA UTENDAJI KAZI WAO NA MWENYEKITI WA BODI MERNARD SWAI


TAARIFA ZILIZOPO NI KUWA KILA KUKICHA HALI INAZIDI KUWA MBAYA HUKU KILA MMOJA AKIJARIBU KUJIIMARISHA KIUTENDAJI KWA KILE KILICHODAIWA NI MWENYEKITI HYO KUINGILIA UTENDAJI ILI KUWEZA KUNUSURU CHAMA HICHO KISIFE.


UFANISI WA KNCU UMEKUWA UKISHUKA KILA KUKICHA KUTOKANA NA MWENYEKITI HUYO KUKATAA KUAJIRI WATUMISHI WENYE SIFA ILI IWE RAHISI KWAKE KUWATAWALA NA KUTUMIA MALI ZA KNCU KIUTAPELI SAMBAMBA NA KUTUMIA NYUMBA YA KNCU ILIHALI YEYE SIO MTUMISHI


WAFANYAKAZI HAO WAMEIOMBA SERIKALI KUPITIA WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA KUVUNJA BODI YA KNCU NA KULETA WAKAGUZI WA NDANI NA NJE ILI KUBAINI MADUDU YANAYOFANYWA NA MWENYEKITI HUYO.


KWA MUJIBU WA MFANYAKZI MMOJA WAZIRI MWENYE DHAMANA ALIKUJA MAJUZI KATIKA CHAMA HICHO LAKINI MWENYEKITI ALIAGIZA APEWE MILIONI TANO KWANI ANAZIPELEKA KWA WAZIRI KAMA CHAI ILI WAZIRI AWEZE KUWASAIDIA KUPATA ILE FEDHA YA MDORORO WA UCHUMI.


HATA HIVYO FEDHA HIZO AMBAZO ZINATAKIWA KUIDHINISHWA NA BODI BADO MWENYEKITI ALIKATAA KUITISHA BODI NA HATA ALIVYOPELEKEWA NYARAKA AWEKE SAINI ALIKATAA NA KUDAI ZITARUDISHWA JAMBO AMBALO LINAONESHA FEDHA ZILE HAZIJAMFIKIA WAZIRI


KWA HALI KAMA HII USHIRIKA UTAWEZA KUFUFUKA?VIONGOZI WA NAMNA KAMA HII NI NANI ANAWALINDA?KUNA MASLAHI GANI KNCU MBONA SERIKALI HAILIINGILII KATI?
 
gomeni tu kama kilio chenu hakisikilizwi njia pekee iliyobaki ndio hiyo au muandamane na sijui itakuaje na kahawa hakuna tender mmnenyiwa ya kusambaza sukari
 
Hapa kuna hujuma kwani KNCU ni mkombozi mkubwa wa mkulima wa Kahawa . wanachotaka kufanya ni kuwa leta private buyers wale waliochangia kudidimiza kilimo cha kahawa hadi pale aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Prof. sarungi kuanza mkakati wa lazima kufufua zao la kahawa. Leo kilimo kinaanza kutengamaa wanakuja watu walafi na wabinafsi wanataka kuua kimbilio hili la wazazi wetu ili tu kudidimiza uchumi wa mkoa wa Kilimanjaro. Hatua kali za Kinidhamu ni lazima zichukuliwe ili kuondoa hali hii.
 
Weka uongozi mbali na M.c.h.a.g.a wanukabila wezi hawaminiki hawaamini mtu hawawezi kuongoza bila kutia shoti shirika hawana taalima za uongozi zaidi kubebana na fitina chungu mbovu....Waziri hawezi kusaidia maana utakuta ameoa dada yao ukiwasemea naenda kulainishiwa k.i.f.u.a.ni Nyie KNCU Imekula kwenu
 
Umekuja vizuri kabisa mwenyekiti alikuwa akiendesha mkutano mkuu uliopita huku mkewe akiwa mochwari yaani eti ana mapenzi ya dhati zaidi na kncu kulikonimarehemu mkewe ambaye alikuwa ni mtoto wa muasisi wa mageuzi nchi edwini mtei na pia alishawahi kufilisiwa na shirika moja kutokana na utapeli wake
 
bwana swai alishawahi kutimuliwa ujumbe wa bodi katika SHIRIKISHO LA VYAMA VYA USHIRIKA TANZANIA (TFC )ka utapeli wake huo....
 
Back
Top Bottom