Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
#Habari:Hali ngumu ya Maisha ndio inayosababishwa na mabadiliko ya mfumo wa maisha ya sasa ambapo yameelezwa kuendelea kuchangia bidhaa mbalimbali zilizopo sokoni kuendelea kukosa soko ikiwemo kitowewo cha nyama kama habari za saa ilivyoshuhudia wafanyabishara wa nyama wakisubiri wateja hadi nyakati za usiku baada ya kukoseka kwa wateja licja ya kipindi hiki kuwa cha msimu wa sikukuu.