Wafanyabiashara wa mbao wanahitajika

Wafanyabiashara wa mbao wanahitajika

meezy

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
710
Reaction score
1,253
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mbao za aina yoyote zenye ubora zinahitajika,ila wanahitajika wafanyabiashara wenye uzoefu na wenye kuleta mzigo mkubwa..piga hesabu zako mpaka mzigo unapofika bandari ya Dar es salaam unipe selling price,kwa aliye teyari naomba anipm.
 
Back
Top Bottom