Wafanyabiashara wa Kariakoo, tuwasiliane

waukweli100

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
193
Reaction score
24
Kama we ni mfanyabiashara unaetoa bidhaa nje ya Tanzania kama Viatu, Simu, Nguo za watoto wachanga n.k. Naomba tuwasiliane kwa number +258 866 131 115. Nipo Mozambique ili tufanye biashara na wewe.
 
Kwa kipindi hiki hapana mnama we unaeza ukawa serikali asee
 
kama wewe ni mfanyabiashara wa viatu vya kike na kiume,naomba tufanye biashara wote,number yangu +258866131115
 
Usinipe hela nipe mzigo wa viatu,fremu ninayo,nipige kazi nakurushia hela tena unani2mia mwingine tena nauza,utanipa na bei yako mi nitajua jinsi ya kuuza ili na mie nipate faida.
 
usinipe hela nipe mzigo wa viatu,fremu ninayo,nipige kazi nakurushia hela tena unani2mia mwingine tena nauza,utanipa na bei yako mi nitajua jinsi ya kuuza ili na mie nipate faida,nicheck whatsapp kwa +258866131115
 
Fursa hiyoo ningekuwepo ningewasiliana na wewe
 
kama wewe ni mfanyabiashara wa viatu vya kike na kiume,naomba tufanye biashara wote,number yangu +258866131115

Mkuu nakumbukaa tulishaongea kwa simu, nikakwambia niko tayari ila leta wadhamini au kitu cha kukudhamini ukasema hakuna, ni ngumu sana kwa sasa mtu kukutumia mzigo bila kuwepo mkataba wa kibiashara wenye udhamini

Mc
 
kabisa tena mty yupo nje ya nchi
 
Nakuuzia sandals za kimasai kwa 15000 jumla viatu ni bomba na vinaenda na wakati unachukua kuanzia pair10 tu nicheck0653783552 kwa picha zaidi
 
Attachments

  • 1428087580160.jpg
    1428087580160.jpg
    87.3 KB · Views: 245
Mkuu nakumbukaa tulishaongea kwa simu, nikakwambia niko tayari ila leta wadhamini au kitu cha kukudhamini ukasema hakuna, ni ngumu sana kwa sasa mtu kukutumia mzigo bila kuwepo mkataba wa kibiashara wenye udhamini

Mc
Duh,MC umewastua wengi,kumbe uliisha mcheki halafu anakuja kivingine
Kumbe jamaa anataka apelekewe mzigo kirahisi namna hiyo bila pesa.
Kama maisha yamemshinda Msumbiji si arudi bongo?yaani ameona wabongo vichwa maji namna hiyo.
 
kaeni chonjo hakuna biashara isiyo kuwa na mkataba wa aina yoyote, jamaa ajipange upya
 
msikurupuke 2 kama mmetoka kunajisiwa hii inawahusu wafanyabiashara,unacoment wewe unabiashara gani matako au?
 
Mie pia ni mfanyabiashara niko hapa hapa dar,niko tayari kwa mkataba na utafika mpaka kwa office yangu kuangalia
 
Kama we ni mfanyabiashara unaetoa bidhaa nje ya Tanzania kama Viatu, Simu, Nguo za watoto wachanga n.k. Naomba tuwasiliane kwa number +258 866 131 115. Nipo Mozambique ili tufanye biashara na wewe.

Wew ndiye mmiliki wa maduka ya Nguo pale kariashingoo?? Karibu na post police
 
Back
Top Bottom