Wafanyabiashara wa Dodoma walaani maandamano ya Chadema

Jackline XX

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
9
Reaction score
6
Wafanyabiashara wa mkoa wa Dodoma, wamelaani vikali hatua ya Chadema kufanya maandamano ambayo yameathiri shughuli zao za biashara kutokana na kufungwa kwa maduka na maeneo yao ya biashara. Wakizungumza kwa jazba na hisia wafanyabiashara waliomba viongozi wa Chadema kuwa na huruma na wananchi wa kipato Cha chini kwani wao ndio waathirika wakuu katika maandamano. Waliwataka kuwa wazalendo taifa Lao na kutumia njia zinazofaa kuwasilisha kilio chao.
 
acha uongo ww mwanaccm s wa kutumia wafanyabiashara wakati mm nimfanyabiashara hapa dom hakuna aliyelalamika!
 
Wafanyabiashara wa mkoa wa Dodoma, wamelaani vikali hatua ya Chadema kufanya maandamano ambayo yameathiri shughuli zao za biashara kutokana na kufungwa kwa maduka na maeneo yao ya biashara. Wakizungumza kwa jazba na hisia wafanyabiashara waliomba viongozi wa Chadema kuwa na huruma na wananchi wa kipato Cha chini kwani wao ndio waathirika wakuu katika maandamano. Waliwataka kuwa wazalendo taifa Lao na kutumia njia zinazofaa kuwasilisha kilio chao.

kwani waandamanaji walikuwa wanaingia madukani?hacha upuuzi wako, badala ya kulaumu polisi ambao hawataki kuwajibika kuongoza maandamano kwa amani nyie mnalia na cdm
 
Waandmanji wote wezi kazi yao ni kuiba kwenye maduka ya watu.
 
Back
Top Bottom