Wafanyabiashara wanaofahamika kama MARAFIKI WA SAMIA, wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan shilingi milioni 700 kwa ajili ya kuendesha kampeni katika kipindi cha uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
Hahahaha ama kweli wahenga walisema mkono mtupu haulambwi!! Huku akina Lissu wanahangaika na tone tone haijafika hata 150M huku mtu mwenye chungu cha kujichotea tu mabilioni anachangiwa mil 700 πππππ
Ama kweli Mbowe alikua tatizo la upinzani nchini na si Watanganyika πππππ