Wa Chato nao wagomeWao pia wameungana na wenzao kutoa sababu kuwa ni urasimu, pamoja na kero wanayopata kutoka kwa watendaji wa mamlaka ya mapato TRA.
Bado maandamanoWao pia wameungana na wenzao kutoa sababu kuwa ni urasimu, pamoja na kero wanayopata kutoka kwa watendaji wa mamlaka ya mapato TRA.
Huku bunge limestitishwa kwa hitilafu ya umeme, huku manzese, kariakoo wamegoma, Bado Rais yupo madarakaniWao pia wameungana na wenzao kutoa sababu kuwa ni urasimu, pamoja na kero wanayopata kutoka kwa watendaji wa mamlaka ya mapato TRA.
=======
Suala la wafanyabiashara wa Kariakoo kutangaza mgomo wa kufunga maduka limefika hadi maeneo ya Manzese ambapo baadhi ya wafanyabiashara wa maduka ya jumla na rejareja wameamua kutofungua biashara zao.
Wao pia wameungana na wenzao kutoa sababu kuwa ni urasimu, pamoja na kero wanayopata kutoka kwa watendaji wa mamlaka ya mapato TRA.
Wafanyabiashara hawa wameomba mchakato wa kusikilizwa ufanywe kama ilivyopangwa ili waweze kurudi kuendelea na shuguli zao kwani kuna mnyororo wa watu wengi wanaoathirika na hali hiyo.
Ifahamike kuwa tayari Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshaazimia kukutana na kamati ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Mawaziri wa sekta husika na Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA). Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Saa 8 Mchana kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu MAGOGONI- ikulu Jumatano tarehe 17 Mei 2023.
Napenda iwe ivyo tuheshimiane maan dharau zimezidiMziki ukiendelea kuvuma na kesho,kifuatacho watu wanaingia road! Aibu kwa Rais!
Hii itakua record mbaya sana kwake na kwa Chama kwa ujumla! Balaa limegusa wenye PESA sasa.
Hawa wanakinukisha anytime,muache azembee.
Na iwe hivyo amen.Mziki ukiendelea kuvuma na kesho,kifuatacho watu wanaingia road! Aibu kwa Rais!
Hii itakua record mbaya sana kwake na kwa Chama kwa ujumla! Balaa limegusa wenye PESA sasa.
Hawa wanakinukisha anytime,muache azembee.
Mziki ukiendelea kuvuma na kesho,kifuatacho watu wanaingia road! Aibu kwa Rais!
Hii itakua record mbaya sana kwake na kwa Chama kwa ujumla! Balaa limegusa wenye PESA sasa.
Hawa wanakinukisha anytime,muache azembee.
Mama anahujumiwa na Watu wake wa karibu sana!!Bado maandamano
Nawaonea huruma sana Hawa jamaa nadhan mwisho wa siku wanaweza kupoteza wao. Kama ana mkopo bank na amepanga fremu atalipaje kodi? By the way hizo nguo na viatu wanavyouza hata wakigoma nchi inaweza kwenda bila wao.Wao pia wameungana na wenzao kutoa sababu kuwa ni urasimu, pamoja na kero wanayopata kutoka kwa watendaji wa mamlaka ya mapato TRA.
=======
Suala la wafanyabiashara wa Kariakoo kutangaza mgomo wa kufunga maduka limefika hadi maeneo ya Manzese ambapo baadhi ya wafanyabiashara wa maduka ya jumla na rejareja wameamua kutofungua biashara zao.
Wao pia wameungana na wenzao kutoa sababu kuwa ni urasimu, pamoja na kero wanayopata kutoka kwa watendaji wa mamlaka ya mapato TRA.
Wafanyabiashara hawa wameomba mchakato wa kusikilizwa ufanywe kama ilivyopangwa ili waweze kurudi kuendelea na shuguli zao kwani kuna mnyororo wa watu wengi wanaoathirika na hali hiyo.
Ifahamike kuwa tayari Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshaazimia kukutana na kamati ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Mawaziri wa sekta husika na Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA). Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Saa 8 Mchana kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu MAGOGONI- ikulu Jumatano tarehe 17 Mei 2023.
MC Shonde
Wana matatizo makubwa maana ukiagiza gari japan usd 5000 andaa usd 5000 zingine za kodiUsema kweli TRA nao wana matatizo yao.