Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 9,103
- 25,493
Afadhali wametoa hili tamko hapa niongeze mbuzi choma na dona kidogo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Afadhali wametoa hili tamko hapa niongeze mbuzi choma na dona kidogo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wataalamu wengine nuksi ..daah aliacha kitimoto michemsho ya kware na bia kisa dayati akisoma hapa si utafanya mabaharia mifuko yetu itoboke zidi ya hawa viwazi jeshi hawa ma slay queen
Slay queen anakula utasema ana utapiamlo au tumboni wapo wawili sjui wanakwama wapi slay queen wa ulaya anakunywa mvinyo tu anacheua
Huku bongo anakupoga pesa na bado anakumalizia akiba ya kwenye friji
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona mi sikuli saana, au kwa kuwa mi sio slayqueen
mara nimetoa mimba 2 za kanumba !Mkuu wewe wcheki kina wema kama wapo sawa