Wafanya biashara pelekeni mchele Bukoba unalipa

Wewe umepeleka Junia ngapi? Kuna mother anasema mwaka jana alivuna Junia 98 ila mwaka huu kavuna Junia 18 tu na akasema huu mwaka sio mzuri kwake ardhi imetapakaa damu za October 29
 
Assumption niliyonayo, naona kama Bukoba au Kagera yote sio watu wa wali...

Sasa kama demand sio kubwa, biashara si itakuwa ishu...
Uko sahihi. Wali unaliwa siku na siku, mfano sikukuu au tukio Fulani.
Kwahiyo Mchele unaoenda kule ni grade za juu, ndio maana Bei ivo.
Ila ipo ya Bei ya chini. Kuna kipindi maduka ya Mchele ni machache na duka utakaloenda unakuta wana Mchele aina moja tu (sio kama maduka ya mikoa mingine unakuta Kuna Bei kuanzia 2000 hadi 4000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…