Unamaanisha madame mkuu?Mimi naanza na Wema sepetu, haya tusaidiane list nyingine
mmh wema ana nyota kama ya lowasa akionekana siku moja tu nishidakwakweli madame skuizi jipya hana...
Hamisa mobetto kaondoka na nyota ya Madame sepenga
Anatia huruma mwenyewe sasa hivi, kawa mpole kama pili pili hoho
binamu bwana naona kamtuma lokole ashawishi team wema wasimsapoti missaAnatia huruma mwenyewe sasa hivi, kawa mpole kama pili pili hoho
Team Wema imekua team hamisa
Hata me simuelewagi hivi sio shoga yule![]()
![]()
![]()
binamu bwana naona kamtuma lokole ashawishi team wema wasimsapoti missa
Huyo lokole mwenyeww sijuagi km me au ke!